Nembo ya taarifa ya habari ya France24.
Mwanahabari François Picard.
France 24 ni kituo cha kurusha programu za televisheni kutoka nchi ya Ufaransa .
Ilianza utangazaji tarehe 6 Desemba 2006 .
Bajeti yake kwa mwaka ni takriban milioni € 80. Inapata fedha kutoka kwa serikali ya Ufaransa, na makao yake iko mjini Issy-les-Moulineaux , karibu na mji mkuu wa Paris .
Hivi sasa inatangaza habari kwa Kiingereza , Kiarabu na Kifaransa , ingawa Rais Nicolas Sarkozy alipendekeza kuwa kituo hicho kitangaze kwa lugha ya Kifaransa pekee.
France24 inatangazwa kwa stesheni tatu tofauti: ya Kiingereza, ya Kifaransa na ya Kiarabu kuanzia saa nane mchana hadi saa sita usiku (kulingana na masaa ya Paris).
Vipindi vyake
The News
In The Papers
In The Weeklies
Business
The Business Interview
Beyond Business
The France 24 Interview
Environment
Face-Off
The France 24 Debate
Weather
Health
Fashion
Culture
World Generation
Lessons For the Future
Reporters
Top Story
Web News
Sport
Caring
The Week In Africa
The Week In Maghreb
The Week In Asia
The Week In Europe
The Week In the Americas
The Week In the Middle East
The Week In France
Markets
Opinions
Report
Lifestyle
Wafanyakazi wakuu
Mwenyekiti: Alain de Pouzilhac
Meneja wa habari: Albert Ripamonti
Msimamizi jalada: Jean Lesieur
Msimamizi wa nakala za Kiarabu: Nahida Nakad
Msimamizi wa teknolojia: Frédéric Brochard
Meneja wa wafanyikazi: Béatrice Le Fouest
Meneja wa fedha: Frédéric Genea
Mkuu wa sheria: Anne Kack
Utangazaji: Patrice Begay
Upatikanaji na matumaini
Inapatikana nchini Uropa , Afrika na Mashariki ya Kati kwa njia ya satelaiti . Tovuti yake ni france24.com
France 24 inalenga kushindana na stesheni kama CNN International , BBC World News , Deutsche Welle , na Al Jazeera English .
Marejeo